Posts

Showing posts from March, 2026

THREADING ALIGNMENT AND INTERFERENCE IN CAD DESIGN

  THREADING ALIGNMENT AND INTERFERENCE IN CAD DESIGN ​1. Problem Statement ​Katika usanifu wa kimitambo (Mechanical Design), tatizo hili linalojulikana kama Thread Interference au Geometric Mismatch. Hutokea pale ambapo sehemu mbili zinazopaswa kuingiliana kwa njia ya threads (kama nati na bolti) zinashindwa kukaa kwenye mstari mmoja (alignment) au zinatofautiana katika vipimo vya kijiometri, hali inayopelekea michoro kuonyesha kuwa sehemu hizo "zinapishana" badala ya "kufungana". ​2. Causes of the Problem (Vyanzo vya Tatizo) ​Vyanzo vikuu vya changamoto hii katika programu za CAD (kama Inventor, SolidWorks, au AutoCAD) ni pamoja na: I) Pitch and Diameter Mismatch: Kutumia kipenyo (Diameter) au hatua ya nyuzi (Pitch) tofauti kati ya sehemu ya kiume (bolt) na ya kike (nut). Kwa mfano, kujaribu kuunganisha M10 \times 1.5 na M10 \times 1.25. II) Physical vs. Cosmetic Threads : Kuchora threads halisi (Physical/Modeled Threads) ambazo zina umbo la 3D. Ikiwa threads hiz...